welfare

n 1 ustawi, hali njema, neema, afya child ~ ustawi wa watoto. the W ~ State nchi yenye (mpango wa) kutoa huduma za jamii bure; (US) Ustawi wa Jamii. ~ worker n afisa ustawi.