weld

vt unga, tia weko, unganisha (chuma, madini) kwa kufua n kiungo kilichofanywa kwa weko. welder n mtia weko.