welcome

adj 1 -a kupokewa/ kukaribisha kwa furaha; -a kufurahia; -a furaha; -a kufurahisha. 2 -enye kuruhusiwa/ kuachiwa. ~ to do sth; ~ to sth pewa ruhusa ya kutumia bure; pewa bure. you are ~ karibu; usijali. 3 (as an interj) karibu n mapokezi, makaribisho vt karibisha vizuri; pokea kwa furaha go out to ~ laki.