weight

n uzito, uzani. under/over ~ -enye uzito mdogo/mkubwa. put on ~ nenepa: ongezeka uzito. throw one's ~ about (colloq) tamba, onyesha ukubwa/ubwana, onea. 2 a/ the ~ (of) uzito (wa kubebwa), mzigo. 3 umaarufu, maana. carry ~ -wa na maana; -wa muhimu. 4 jiwe la mizani. ~ lifting n mchezo wa kuinua vitu vizito. 5 mfumo wa vipimo vt 1 tia, ongeza uzito; -pa nguvu, lemeza. 2 ~ sb down lemeza. 3 tumia madawa kufanya kitambaa kuwa kigumu. weightless adj -sio na uzito. weighty adj zito, -a maana. weightily adv. weightiness n 1 uzito. 2 umuhimu, maana. weightlessness n.