week

n 1 juma, wiki. ~ in ~ out endelea bila kukoma. week-end n wikiendi, Jumamosi na Jumapili ~-end ticket ruhusa ya Jumapili vi enda wikiendi. long ~-end n wikiendi ndefu. 2 siku za juma za kazi. ~-day n siku yo yote ya juma (isipokuwa Jumapili). ly adv kwa juma three times a~ mara tatu kwa juma n gazeti litolewalo kila juma.