weed

n 1 gugu; majani. ~ killer n kiua magugu. 2 mtu mwembamba dhaifu mtu hafifu. 3 (dated sl) sigara; biri; tumbaku; (modern sl) bangi vt palia magugu. ~ sth/sb out ondoa vitu hafifu (visivyofaa kitu), pembua, chagua. adj 1 -enye magugu. 2 (sl) -refu-embamba na dhaifu.