wed

vt,vi 1 oa; olewa, funga ndoa; (lit) ungana. ~ded to adj -enye kushika sana; -enye kung'angania. wedding n arusi, ndoa. golden ~ding sikukuu ya 50 ya ukumbusho wa ndoa adj -a arusi. ~ding-breakfast n chakula cha maarusi, ndugu na jamaa baada ya harusi. ~ding garment n nguo za harusi. ~ dingcake n keki ya ndoa. ~ding-card n kadi ya taarifa; tangazo la ndoa (kwa marafiki); kadi (ya mwaliko) ya arusi. ~ding-ring n pete ya ndoa. wedlock n (legal) ndoa in ~lock katika ndoa, -a ndoa.