web

n 1 kilichofumwa; mfumo. 2 (of spider) utando; tandabui, kimia; (of waterbird's feet) utando wa ngozi kati ya vidole. webbed adj -enye utando (wa hila, njama, uongo n.k.). ~-footed/toed adj -enye ngozi kati ya vidole vya miguu.