weather
weather
1 n 1 hali ya hewa. be/feel under the ~ (colloq) umwa, jisikia vibaya. keep a/ one's ~ eye open -wa na hadhari, wa macho, kaa chonjo, jiandaa. make good/bad ~ pambana na hali ya hewa nzuri/ mbaya. make heavy ~ of sth sumbuliwa, taabishwa. under stress of ~ kwa sababu ya dhoruba n.k. 2. (compounds) ~ beaten adj iloathiriwa na hali ya hewa. ~ boarding/boards n mbao za kukinga mvua. ~ bound adj liozuiwa safari kutokana na hali ya hewa mbaya. ~ bureau n ofisi ya hali ya hewa. ~ cock n kieleleza upepo (kifananacho na jogoo). ~ man n mtabiri wa hali ya hewa. weather-glass n barometa. weatherproof adj -sioathiriwa na upepo/ mvua/baridi. ~-ship n meli ya hali ya hewa. ~-report n ripoti ya hali ya hewa. ~-side n upande wa joshi.weather
2 vt,vi 1 pona, pita, epuka. 2 enda joshi. 3 acha nje. 4 kwajuka, nyauka.