wean

vt 1 likiza: achisha mtoto ziwa. 2 ~ sb from sth fanya kuacha (tabia, marafiki wabaya n.k.) ~ sb of a habit tengua tabia ya mtu ~ sb from bad company ondoa mtu kutoka kwenye kundi baya/marafiki wabaya.