wealth

n 1 utajiri, ukwasi; mali nyingi a man of ~ tajiri, mwenye mali. 2 wingi wa mali, wingi wa neema. ~ of a/the -ingi sana. wealthy adj -tajiri, -kwasi, -enye wingi wa neema. wealthily adv kwa ukwasi.