watch
watch
1 n 1 (timepiece) saa (ya mfukoni au mkononi). ~ glass n kioo cha saa. ~ guard/chain n mnyororo wa kufungia saa nguoni. ~ key n ufunguo wa saa. ~ maker n fundi saa.watch
2 n 1 ulinzi, lindo. be on the ~ (for) tazamia, weka hadhari, vizia. keep ~ (on/ over) linda, chunga, tunza. ~ dog n mbwa wa kulinda nyumba; (fig) mtu/kitu kinacholinda. ~ tower n mnara wa doria kuchunga moto n.k. 2 the ~ (hist) n walinzi (hasa wa usiku). 3 (in ships) zamu (kipindi cha saa 2 au 4. the first ~ n zamu ya saa 2 usiku hadi saa 6 usiku. the middle ~ n zamu ya saa 6 usiku hadi saa 10 usiku. the dog ~es n nusu ya zamu. keep ~ wa zamu. 4 (old use) mkesha. ~ night service n ibada ya usiku/mkesha (wa kidini). watcher n 1 mlinzi, mwangalizi. ~ man n mlinzi wa usiku. watchful adj -a hadhari, -angalifu, -chunguzi. watchfully adv. watchfulness n. watchword n neno la siri la kulindia; wito/neno la shime/kutia hamasa vt,vi 1 tazama, angalia, chunga. ~ one's step -wa mwangalifu; fanya jambo kwa makini na tahadhari; -wa na hadhari. ~ one's time vuta subira, subiri wakati unaofaa. ~ the time jali wakati, angalia saa ili (usichelewe). ~ (out) (for sth) -wa macho, angalia. ~ out jihadhari. ~ (over) sth linda, hami; (old use) kaa macho, kesha.