wash

vt,vi 1 osha; (bathe) oga,ogesha; (hands) nawa. ~ one's hands of sth/sb jitoa kabisa katika jambo, nawa mikono. ~clothes fua nguo. ~ sth down safisha (hasa kwa mtiririko wa maji. ~ sth away/off/out ondoa kwa kuosha, safisha kwa maji. be/look/feel ~ed out (fig colloq) jisikia hoi, choka sana. ~ up (GB) osha vyombo (baada ya mlo); (US) nawa uso na mikono. ~ing up n uoshaji vyombo. (all) ~ed up adj (colloq) -liokwisha. 2 (of material) fulika; (fig) kubalika. 3 (of sea, river) la; pita. 4 (of moving liquid) beba, tupa, chukua. ~ sth down with telemshia. ~ ed out adj (of games) -lioahirishwa, lioshindikana (kwa sababu ya mvua au mafuriko); (of roads etc) -siopitika. 5 chimba (mchanga) kwa maji. 6 (ceremonially) toharisha, eua ~ sb of his sins toharisha/takasa mtu dhambi zake. 7 mwagika. 8 (in compounds often used as a substitute for ~ ing) ~ basin/ bowl/hand-basin n beseni/bakuli la kunawia; karai. ~ board n ubao wa kufulia. ~ cloth n kitambaa cha kunawia uso. ~ -day n siku ya kufua. ~ drawing n picha ya rangi za maji. ~ house n chumba/banda la kufulia nguo. wash-leather n ngozi laini ya kusafishia. ~ out n sehemu iliyobomolewa na mafuriko; (fig) mtu wa bure; kushindwa kabisa. ~ room n (US) msala. ~- hand stand n meza ya kunawia. ~ tub n pipa la kufulia nguo. ~ able adj a kufulika n 1 kuosha; josho have a ~ and brush up koga na kujinadhifisha, jitakasa. 2 (sing only) nguo, za kufua; mahali pa kufulia/kufanyia udobi. 3 the ~ (ed) mkondo; sauti inayotokana na mtiririko wa maji; kitu cha maji (kilichotayarishwa kwa shughuli maalum. white ~ n chokaa, wangwa; (sediment) kitope. 4 majimaji. 5 mashata. washer n 1 washeli: pete bapa ya chuma/ plastiki/mpira au ngozi iliyotobolewa. 2 mashine ya kufulia/kuoshea vyombo. 3 ~erman/woman n dobi. washing n 1 kuosha/kuoshwa. 2 kufua; nguo zinazofuliwa au za kufua ~ing day see ~ day ~ing machine mashine ya kufulia. ~ing soda n magadi. washy adj (of liquids) -a majimaji; (of feeling style) dhaifu; (of colours) hafifu.