warrant

n 1 haki, sababu. 2 hati (ya idhini ya kufanya kitu); kibali, waranti search ~ hati ya upekuzi. 3 (marine) hati ya kuteua askari asiye afisa vt 1 tetea; halalisha; wa na sababu. 2 thibitisha; (colloq) thibitishia, hakikishia. warrantee n mtu anayepewa hati (ya kutengeneza/ kubadilisha bidhaa); mdhaminiwa. ~or; ~er n mdhamini. ~- officer n askari asiye afisa. warranty n 1 hati (ya kutengeneza/kubadilisha bidhaa). 2 mamlaka.