warn

vt onya; asa; hadharisha. ~ sb off kataza mtu (asiingie/asikaribie). warning n onyo, ilani without a moment's ~ing kwa ghafula give a month's ~ing toa notisi ya mwezi mmoja adj -a onyo, -a ilani.