adj 1 -a vuguvugu, -fufutende. ~ workn kazi ya kusisimua mwili; kazi ya sulubu/hatari. make things ~ for sb letea matata, adhibu mtu. ~ bloodn damu ya mamalia na ndege. ~ bloodedadj -a damu moto; motomoto; -enye mihemko ya haraka. 2 (hearty) -a shauku. 3 (angry) -a hasira. 4 (cordial) kunjufu, -ema. warm-heartedadj -ema, -kunjufu, -a huruma, -a upendo. ~-heartednessn. 5 (of scent) bichi; (of children games) -a kukimbia. warmlyadv -kwa ukunjufu/upendo; kwa kuzuia baridi. warmthn 1 hasira. 2 uvuguvugu; ukunjufu; wema mwingi vt,vi~ (sth) (up) pasha/pata moto. ~ to one's work/task/sb changamkia kazi./ mtu. ~ing- pann(hist) kipashi joto (cha kitanda). warmern kipashia joto.