warden

n 1 msimamizi, mwangalizi. traffic ~ n msimamizi wa maegesho ya magari the ~ of the hall of residence mwangalizi wa bweni game-~ bwana nyama. 2 (old use except in a few cases) mkuu (wa chuo n.k.). 3 (US) askari jela.