ward

n 1 keep watch and ~ linda. 2 (guardian) ulinzi, ulezi; mtu (hasa mtoto) aliye chini ya mamlaka ya mahakama. 3 (of a government area) kata. 4 (of hospital) wadi isolation ~ wadi iliyotengwa. 5 (of lock, key) mtoto, jino vt ~ sth off kinga, epuka, kwepa kitu.