warble

vi,vt (esp of birds) imba (hasa kwa madende/ madoido) n wimbo/ kuimba (kwa sauti nyororo kama ya ndege). warbler n (aina ya) ndege mwimbaji.