wake

wake

1 vi,vt 1 ~ (up) amka. 2 ~ sb up amsha, zindua. 3 ~ sb (up) chochea, changamsha. 4 sumbua kwa makelele. waking adj, -wa macho. waken vt,vi amsha; amka. wakeful adj -a kukesha; a kukosa usingizi.

wake

2 n mkondo (wa chombo). in the ~ of baada ya follow in sb's ~ fuata nyayo za mtu.