wage
wage
1 vt endeleza, pigana, fanya (vita, kampeni).wage
2 n (usu pl) 1 ujira; ijara; mshahara a living ~ mshahara wa kujikimu minimum ~ kima cha chini cha mshahara. ~ claim n dai la mshahara. ~earner n mfanyakazi. 2 (old use; pl in form with sing v) malipo.