wade

vi,vt enda/pita/jivuta kwa shida (matopeni, n.k.). wading bird n ndege atembeaye majini kama kitwitwi. ~ in shambulia kwa nguvu. ~ into sth shambulia vikali. wader n 1 kitwitwi, kiulimazi. 2 (pl) waders n gambuti: viatu virefu vya juu ya magoti.