vulgar

adj 1 sio na adabu, -a kishenzi, -tovu wa adabu, pujufu. 2 -a kawaida, -a watu wote; -a wingi wa watu. ~ fraction n fraksheni ya kawaida. (mf 1/2). the ~ herd n makabwela. the ~ tongue n lugha ya kienyeji. vulgarly adv. vulgarian n mtu tajiri mwenye tabia ya kishenzi. vulgarism n usemi (neno) wa kishamba. vulgarity n ushenzi, ufidhuli, ujuvi, usafihi, ukosefu wa adabu, utovu wa adabu; upujufu. vulgarize vt tweza; rahisisha; eneza kwa watu wote, fanya -a watu wote. vulgarization n.