voucher

n vocha, hati ya malipo. gift ~ n vocha ya kupewa zawadi. luncheon ~ n vocha ya kupewa chakula cha mchana hotelini.