vote

n 1 (haki ya kupiga) kura. put something to the ~ pigia kura. 2 idadi ya kura. 3 kasma. vi,vt 1 ~ for/against somebody/something pigia kura ya ndiyo/hapana. ~ on something pigia kura. 2 ~ somebody/something (for something) -pa/toa fedha kwa madhumuni fulani. 3 ~ something down shinda kwa kura. ~ something through pitisha, kubali, idhinisha (kwa kura). 4 (colloq) tangaza kwa kutumia maoni ya watu. 5 pendekeza, shauri. voter n mpiga kura. voteless adj -sio na haki ya kupiga kura.