voluntary

adj 1 -a hiari, bila kulazimishwa; -a kupenda mwenyewe. 2 -a bure, pasipo mshahara, -a kujitolea. 3 (of muscle) -nayodhibitiwa na utashi wa mtu. n 1 wimbo wa kinanda unaopigwa nje ya ibada. voluntariness n hiari. voluntarily adv.