volley

n 1 mshindo (wa makombora, bunduki nyingi n.k. zikipigwa pamoja). 2 mfululizo (wa maapizo, matusi, maswali n.k). ~-ball n mpira wa wavu. vt,vi (of guns) lia sawia; (of tennis) jibu pigo (kabla mpira kugonga chini).