voice

n 1 sauti, mlio. 2 (uwezo wa) kutoa sauti. 3 sauti ya mtu in a loud ~ kwa sauti kubwa. lift up one's ~ (old use) toa sauti (imba, sema). shout at the top of one's ~ toa usiyahi. with one ~ (liter) kwa kauli moja. 4 a/some/no etc ~ in something haki/kutokuwa na haki ya kutoa maoni. 5 wito; hiari; maono; hisia the ~ of God/Nature; the ~s of the night dhamira. 6 (in phonetics) sauti irabu/konsonanti. 7 (gram) kauli (ya kutenda/kutendwa). vt 1 sema, eleza. 2 tamka irabu/ konsonanti. voiced adj (in compounds) -a ghuna. voiceless adj -sioghuna (mfano p,f).