vogue

n 1 mtindo wa sasa, fashini. 2 kupendelewa/kupendwa kwa jambo; -kupokelewa; kukubalika. be in/come into ~; be/go out of ~ wa/tokuwa katika fashini, pendelewa/ -topendelewa. all the ~ mtindo unaopendwa kote.