vocal

adj 1 -a sauti the ~ organs ala za sauti (ulimi, midomo n.k.) ~ music muziki wa kuimbwa. vocally adv kwa sauti. vocalist n mwimbaji. vocalic adj 1 -a vokali, -a irabu. vocalism n 1 utumiaji sauti (katika kusema/ kuimba). 2 mfumo wa irabu. vocalize vt sema/imba kwa sauti, toa sauti ya kusikika; tia/andika irabu. vi toa sauti, piga kelele. vocalization n. vocative adj,n kauli ya mneni.