vital

adj 1 -a uzima, -a uhai, -a lazima kwa uzima/kwa uhai. the ~ force/principle n roho/uhai. ~ statistics n takwimu muhimu (inayohusu urefu wa maisha na uzazi, ndoa na vifo); (colloq) vipimo vya mwanamke, vya kifua, kiuno na mapaja. 2 -kuu, -a kiini hasa. vitals n (pl) viungo muhimu vya mwili hasa mapafu, moyo, ubongo. vitally adv. vitalism n imani ya kuwa kuna nguvu katika viumbe inayotawala uhai/roho mbali na ile ya kikemia. vitalist n. vitality n uzima, uhai, nguvu tendaji; uchangamfu. vitalize vt jazwa na nguvu, ingiza nguvu, jipa tumaini, jadhubisha.