vista

n 1 taswira, upeo unaoonekana katika nafasi nyembamba; mandhari. 2 (fig) mfululizo wa taswira/ mandhari/matukio n.k.