vision

n 1 kuona. 2 maono; kivuli, ndoto. 3 (insight) uwezo wa kuona mbali/mbele, busara. 4 mwanga, nuru. visionary adj 1 -a kubuni tu, si hakika; -a njozi, -a ndoto. 2 (of persons) -enye fikra za kinjozi; -enye uwezo wa kuona mbali. n ary person mtu mwenye uwezo wa kuona mbali.