virtuoso

n stadi wa elimu hasa ya muziki; mweledi, mtu mwenye maarifa/vionjo vya kazi za sanaa. virtuosity n ujuzi wa mwana sanaa. weledi.