virtue

n 1 wema, maadili. make a ~ of necessity fanya jambo la lazima na kujitia ni kutokana na wema. ~ is its own reward (prov) tenda wema wende zako. the cardinal ~s n nyemi/nemsi za asili. the theological ~s n nyemi/nemsi za kidini. 2 utakatifu, usafi. 3 nguvu, uwezo. 4 ubora; manufaa. 5 by/in ~ of kwa sababu,kwa ajili ya. virtuous adj -ema/adilifu; -enye huruma; -lio bora; -lio safi, takatifu. virtuously adv.