virile

adj 1 -a kidume, -enye nguvu na tabia za kidume, -a nguvu. 2 (of man) rijali, -enye nguvu za kiume. virility n urijali; nguvu za mwanamume za uzazi.