violate

vt 1 kiuka (kiapo, mkataba n.k.). 2 ingilia (faragha ya mtu, sehemu iliyo wakfu) bila heshima. 3 baka, ingilia mtu kwa nguvu. violation n. violator n mvunja sheria.