vignette

n 1 nakshi/sanamu/picha ndogo nzuri (hasa kwenye jalada la kitabu au mwanzo/mwisho wa sura). 2 picha ya kichwa na mabega (ya mtu). 3 muhtasari wa tabia ya mtu.