vigilance

n hadhari, uangalifu, kuwa macho. ~ committee n kamati ya sungusungu/wazalendo ya kudumisha amani katika jamii au mahali ambapo hapana uongozi.vigilant adj macho, -angalifu, -enye hadhari. vigilantly adv. vigilante n memba wa kamati ya wazalendo.