victim

n 1 kafara, mhanga. 2 mwathiriwa na janga (ambalo hakulisababisha yeye, mtu (au mnyama) anayesumbuka au kuuawa au kupatwa na mabaya asiyostahili, kwa ajili ya mwingine. victimize vt onea, sumbua. victimization n maonevu uonevu.