vicar

n (Anglican) kasisi/ padre wa usharika; (RC) mwakilishi, naibu wa ~ of Christ wakili wa Kristu. vicarage n nyumba/ maskani ya padri/kasisi. vicarious adj 1 -a kuwakilishwa. 2 -liofanywa kwa ajili ya wengine; -liotendwa kwa niaba ya. vicariously adv.