veteran

n mkongwe;(of cars) -liotengenezwa kabla ya 1916; (in US) askari mstaafu adj -kongwe, aliyebobea. V~s Day n Siku ya kukumbuka mwisho wa vita ya Kwanza ya Dunia (Novemba 11).