vestry

n 1 chumba cha kuvalia nguo kanisani. 2 (parish council) baraza la waumini. 3 chumba cha sala/ mafundisho ya dini/mikutano. ~ clerk n karani (wa baraza la waumini). vestryman n mjumbe wa baraza la parokia.