vestige

n 1 alama, dalili baki, sazo. vestigial adj -a alama, -a mabaki; -a kumbukizi. 2 (anat) (kiungo/sehemu) salio la kitu kilichokuwepo zamani adj liobaki kama salio.