vertebra

n (pl) 1 pingili la uti wa mgongo. 2 (pl) wanyama wenye uti wa mgongo. vertebral adj -a uti wa mgongo. ~l column n uti wa mgongo. vertebrate adj -enye uti wa mgongo n mnyama mwenye uti wa mgongo.