versatile

adj 1 hodari na -enye kupendelea mambo mbalimbali. 2 -enye akili nyepesi, elekevu sana. 3 (changeful) geugeu, -badilifu, si thabiti; -enye matumizi mbalimbali. versatility n.