verb

n kitenzi auxiliary ~ kitenzi saidizi. verbal adj 1 -a tendo; -a mdomo. 2 -a maneno tu. 3 (literal) sisisi. 4 -a kitenzi. verbally adv kwa maneno (si kwa maandishi), kwa kusema. verbalism n 1 msemo. 2 msamiati. 3 maneno tu. verbalist n msemaji ovyo, mropokaji. verbalize vt sema, toa kauli. verbatim adv, adj sisisi; kwa maneno yenyewe hasa, kwa kunukuu, kama ilivyosemwa. verbiage n (use of) domo, maneno mengi ya bure, maelezo ya mzunguko. verbose adj -a maneno mengi. verbosely adv. verboseness. n verbosity n.