vent

n 1 tundu, kitundu cha kutokea gesi/hewa/maji. ~ hole n tundu la kutolea moshi, harufu, mvuke. 2 (trade use) mchano. 3 njia ya kutorokea/kupitia. 4 (sing only) liwazo. give ~ to (fig) toa mawazo bila woga. vt ~ something on somebody/something toa nje. ventilate vt 1 pitisha hewa safi, burudisha kwa hewa. 2 (fig) eneza, tangaza, jadili. ventilation n. ventilator n tundu la (chombo cha) kupitisha hewa.