venerable

adj 1 -a kuheshimiwa (kwa sababu ya uzee, n.k.); -a heshima, -a kustahiwa. 2 (church of England) Dikoni mkuu. venerate vt heshimu, stahi, tukuza, jali. veneration n.