veneer

n 1 ubao-vene: ubao safi mwembamba unaobandikwa juu ya ubao usio bora. 2 (fig) uzuri, upole wa kujifanya/bandia. vt bandika urembo.